Typecraft v2.5
Jump to: navigation, search

Corpus:Kiswahili

Revision as of 10:00, 20 June 2012 by Misah Natumanya (Talk | contribs)

Source information
Source written material
Author/Creator/Speaker(s) Deo Ngonyani & Jostein Ven
Title Towards a Typology of Bantu Applicatives, Swhili Verbal Extensions and their interaction with Argument structure in Derivation of Verb extensions
Original language Kiswahili
Date/Place 23-01-2012
ISBN -
Publisher University of California Press,Berkeley&Los Angeles
Annotator Natumanya Misah
Contributor Misah Natumanya
Corpus translator Deo Ngonyani & Jostien Ven
Link to the annotated dataset http://typecraft.org/TCEditor/1568/

Mtoto alilia wali kijiko
Motto alikatia muwa kisu
Mama alitaka kumnuuia motto viatu
Wageni walinunuliana zawadi
Wageni walipigania zawadi
Chakula kililiwa ofisini
Mtooto alinunuliwa kitabo
Watoto walikivunjia chungu mawe
Wateja walikilia chakula ofisini
Wawinndaji waliwawindia ndove pesa
Msichana alimsukumia wavulani jongoo
Fundi aliikatia mitaa umeme
Wageni walimletea zawadi mtoto
Mtoto ameanguka
Motto amemwangukia Baba
Juma ali(i) letea kahawa
Juma alimletea Fatuma kahawa
Juma alimletea kahawa Fatuma
Juma alilipatia gari dereva
Juma alimpatia dereva gari
Mtoto amemwangushia John matunda
Fatuma aliletewa kahawa (na Juma)
Baba ameangukiwa (na mtoto)
Watoto wameangukiana
Juma na Fatuma wanaleteana kahawa
Mariyamu analeteshewa kahawa(na Juma)
Fatuma aliletewa kahawa (na Juma)
Juma alimleletea Fatuma Kahawa
Juma anamtupia Ali mawe
Juma na Ali wanatupiana mawe.
Sam na Juma wamemgombania binti
natafuta unyoya wa kuiandikia barua
Aliandika barua
Alimwandikia shangazi barua
Salma alikaa kiti ni
Salma alikalia kiti cha uvivu
Bi Sauda alikata mkate kwa kisu
*Bi Sauda alikatia mkate kisu
Bi Sauda alikatia nini mkate huo?
Juma alivaa kanzu
Juma alivalia nguo rasmi
Kijana wa kihindi kavalia vizuri
Mpishi alipika jiko ni
Mpishi alipikia jiko ni
Waziri alianguka chini
Waziri aliangukia chini
watoto walituimbia nyimbo
imbiana
kijiko chakulia supu
mfuko wa kuchukulia dawn